Hatukubali ushoga-Ofisi ya Mwanasheria mkuu-TZ.

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Serikali ya Tanzania imesema kuwa serikali imeendelea kukataa suridhia suala la ushoga nchini Tanzania kati mapendekezo 72 yaliyokataliwa ya Umoja wa Mataifa kwenye mapendekezo yake kuhusu haki za binadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS