Waziri Mkuu akifanya mazungumzo na madaktari kutoka nchini China walioko wilayani Ruangwa mkoani Lindi
Madaktari bingwa 38 kutoka nchini China leo wameanza kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa wananchi wa mikoa mitano nchini Tanzania.