Wimbo wa 'Pale Kati' wa Nay wa Mitego wafungiwa Nay wa Mitego Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na Msanii Ney wa Mitengo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili. Read more about Wimbo wa 'Pale Kati' wa Nay wa Mitego wafungiwa