Wakulima soko la Kimataifa Kibaigwa kupewa ahueni
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba, ameiagiza bodi ya Soko la Mahindi la Kimataifa la Kibaigwa, na Uongozi wa Halmshauri ya Kongwa kuweka utaratibu utakaowawezesha wakulima kuuza mazao yao bila kudhurumiwa kutoka kwa madalali.