Tujihadhari na wawekezaji wacheza kamari - Kituyi
Mkutano wa 14 wa kamati ya biashara na maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD ukianza leo mjini Nairobi, Kenya Katibu Mkuu wa taasisi hiyo, Dkt. Mukhisa Kituyi amezitaka nchi zinazoendelea kuwa makini na wawekezaji wapya
