HAPI: Waliohujumu miradi ya afya Kinondoni kukiona
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi ametangaza azma ya kuwa chukulia hatua wale wote ambao wamehusika kuhujumu mradi wa wodi 7 za wazazi zilizokuwa chini ya mradi wa TASAF kwa ufadhili wa benki ya dunia uliogarimu shilingi Milioni 500 ambazo

