Wakimbizi 200 wafa kwa njaa Nigeria

Karibu wakimbizi 200 waliokimbia wapiganaji wa kundi la Boko Haram wamekufa kwa njaa katika mwezi uliopita huko Bama, Nigeria kwa mujibu wa shirika la kujitolea la MSF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS