Nimeteuliwa kutokana na uzoefu wangu- Mrema
Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustino Mrema amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli kumteua kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ni kutokana na uzoefu wake serikalini na siyo kumlipa fadhila.

