Ibrahimovic astaafu rasmi Soka la Kimataifa
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amestaafu rasmi kuitumikia timu yake ya taifa ya Sweden ambapo jana timu yake iliondolewa kwenye michuano ya Euro 2016 baada ya kufungwa 1-0 na Ubelgiji na huo kuwa mchezo wake wa mwisho.