Afrika bado inakabiliwa na changamoto ya maji
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama hasa vijijini kwa sababu nchi zake bado hazijamudu kuunganisha huduma hiyo katika maeneo hayo.
