Hata kuziba midomo ni demokrasia-Rais Magufuli
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewataka wanasiasa kuachana na harakati za siasa katika kipindi hiki mpaka baada ya miaka mitano ili kutoa nafasi ya kutekeleza ahadi alizozitoa kwa ajili ya Maendeleo na Watanzania na nchi kwa ujumla.