Ngassa atua klabu mpya

Mrisho Ngassa

Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa anaondoka leo Bathlehem kuhamia Johannesburg, Afrika Kusini kujiiunga na klabu mpya, Moroka Swallows.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS