Bongo fleva imefuata ya bongo movie - Afande Sele Rapper mkongwe kwenye bongo Fleva, Afande sele, amesema muziki wa bongo fleva sasa hivi unapoteza dira na kufuata nyayo za bongo movie, za kutumia kiki kutangaza kazi. Read more about Bongo fleva imefuata ya bongo movie - Afande Sele