Zingatieni lengo la Airtel Rising Stars - TFF Shirikisho la Soka Tanzania TFF limewataka viongozi wa soka wa mikoa nchini kuzingatia umuhimu wa mashindano ya vijana chini wa umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars. Read more about Zingatieni lengo la Airtel Rising Stars - TFF