Simba yamtema rasmi Hamis Kiiza
Rais wa Simba, Evans Aveva amesema kuwa sasa ni rasmi wameshampa Kiiza mkono wa kwaheri na hakuna tena kilichopo baina yao na zaidi wamemtakia kila la kheri huko aendako pamoja na kumshukuru kwa mchango wake mkubwa katika timu hiyo.

