Waganga zaidi ya 14,000 wa tiba asili, wasajiliwa
Serikali imewataka wataalam wa tiba asilia ambao hawajasajiliwa kufuata taratibu za usajili ili waweze kutambulika na kupata usajili wa dawa zao kutokana na asilimia 60 ya watanzania kuhudumiwa kupitia tiba hizo.