'Nominees' wengine katika Tuzo za EATV watajwa leo
Ibrahim kutoka Vodacom (Kushoto) akiwa Dullah katika Planet Bongo iliyoruka LIVE kutoka Mabibo Hostel, akitangaza majina ya wasanii walioingia katika Tuzo za EATV
East Africa Television LTD imeendelea kutaja 'nominees' wa vipengele vingine viwili watakaowania EATV AWARDS.