Wanafunzi 30,000 waepuka adha ya kukaa chini

Bw. Daniel Mwasandube (kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangishaji Fedha

Takribani wanafunzi 30,000 nchini Tanzania wameepuka adha ya kukaa chini baada ya taasisi ya Hassan Maajar kugawa madawati elfu tisa kwa shule za msingi na sekondari katika mikoa 13 nchini kupitia programu yake ya kuboresha mazingira ya elimu nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS