Simba yakiri kuzidiwa nguvu na maafande wa Mbeya
Klabu wa Simba kupitia kwa nahodha wa timu Jonas Mkude imekiri kuzidiwa uwezo na mbinu za kisoka na Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Jijini Mbeya na kushuhudia Simba ikilala kwa kipigo cha mabao 2-1.