Mauzo ya hisa DSE yashuka kwa asilimia 37
Hali ya mauzo katika soko la Hisa la Dar es Salaam imetajwa kuwa mbaya baada ya wiki hii kushuka kwa asilimia 37 kutoka shilingi bilioni 6.4 kutoka bilioni 6.4 hadi kufikia bilioni ambapo wiki iliyopita ilishuka kwa asilimia 23.