Serikali haina matumizi ya takwimu sahihi - Samia
Makamu wa wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekiri kuwa wizara, idara na taasisi za serikali zina matumizi madogo ya takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini hali ambayo inachangia kurudisha nyuma mipango ya maendeleo