Polisi mkoani Mtwara wazuia mkutano wa Maalim Seif
Polisi wakiwa nje ya chuo cha SAUT Mtwara
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limezingira chuo cha SAUT mkoani humo na kuzuia mkutano wa ndani wa chama cha CUF, uliokuwa unahudhuriwa na katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad.