Rais Magufuli aongoza wakazi Dar kumuaga Mungai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Joseph Muungai katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 10,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameongoza viongozi na mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kuuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri na Mbunge Mstaafu marehemu Joseph Mungai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS