TAMWA yataka hatua dhidi ya ajali za barabarani
Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazotetea marekebisho ya sera na sheria za usalama barabarani ukiongozwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini TAMWA, umeguswa na wimbi la ongezeko la ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikigharimu maisha