Pluijm ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Yanga

Hans Van der Pluijm

Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Hans Van der Pluijm amekubali kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo huku nafasi ya Kocha Mkuu ikichukuliwa na George Lwandamina kutoka Zesco ya Zambia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS