Murray amchapa Djokovic na kung'ang'ania kileleni
Muingereza Andy Murray ametwaa taji lake la kwanza la ATP World Tour baada ya kumchapa nguli wa mchezo wa tennis duniani Novak Djokovic kwa jumla ya seti 2-0 katika mchezo wa fainali za mashindano hayo.