Messi alipa mishahara ya walinzi wa timu ya taifa Lionel Messi Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi, amelipa malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi wa idara ya ulinzi wa timu ya taifa ya Argentina, baada ya kulalamikiwa. Read more about Messi alipa mishahara ya walinzi wa timu ya taifa