DCI aliyetumbuliwa ateuliwa kuwa RAS Kagera

Diwani Athumani, Aliyekuwa DCI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS