De Gea akataa kupewa heshima David De Gea Mlinda mlango mahiri wa klabu ya Manchester United, David De Gea amesema hastahili kupewa sifa yeye peke yake kufuatia mchezo wa jana, Januari 13 dhidi ya Tottenham Hotspurs, bali ni kwa timu nzima. Read more about De Gea akataa kupewa heshima