“Wakulima wamelipwa pesa za korosho”. - Mkurugenzi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Vijijini, Omari Kipanga, ameweka wazi kuwa zoezi la ulipaji wa pesa za korosho katika Halmashauri yake linaendelea, na kwamba kuna wengine wengi wameshalipwa.

