Tatizo Sugu la Simba na Yanga linaitafuna Afrika
Klabu ya soka ya Simba inawakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa na tayari ipo katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika ikiwa inaongoza kundi D, baada ya kushinda 3-0 dhidi ya JS Saoura.

