Rais Magufuli awaweka kikaangoni wateule wake
Kesho Jumatatu Wakuu wa Mikoa wote nchini wametakiwa kufika kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, kwa ajili ya kutoa taarifa ya ugawaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo baada ya kukabidhiwa Desemba 10 mwaka uliopita.

