Makocha wapya wa Singida United waanza kazi

Kikosi cha Singida United

Klabu ya soka ya Singida United imethibitisha kuwa makocha wao wapya wamewasili jijini Mwanza na kuungana na timu tayari kuanza kazi ya kusaka alama tatu dhidi ya Mbao FC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS