Mbunge adai kummaliza Nyalandu Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu. Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Justin Monko amedai kuwa kwa sasa amemaliza kabisa nguvu ya mtangulizi wake, Lazaro Nyalandu katika baadhi ya maeneo ya jimboni kwake. Read more about Mbunge adai kummaliza Nyalandu