Hatma ya aliyemtuhumu Hapi 'kulazwa makaburini'
Sakata la Katibu wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) wilaya Temeke, Hilda Newton la kuchapisha taarifa juu ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi kudaiwa kulazwa makaburini kwa imani za kishirikina limechukua sura mpya baada ya uongozi wa BAVICHA kudai kiongozi wao hatotii