Mo Salah amualika shabiki kipofu mazoezini
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amemwalika rasmi shabiki kipofu wa klabu hiyo, Mike Kearney katika mazoezi baada ya kuzua gumzo mitandaoni kufuatia mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya kati ya Liverpool na Napoli wiki mbili zilizopita.