“Nimeoa kwa siri” – Beka Flavor Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour, ameweka wazi kuwa sasa yeye sio msela tena kwani amemuoa rasmi mama mtoto wake, anayejulikana kwa jina la Happy. Read more about “Nimeoa kwa siri” – Beka Flavor