Dkt. Mengi awapongeza Serengeti Boys
Mlezi wa timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, amewapongeza wachezaji hao kwa ubingwa wa COSAFA walioutwaa nchini Botswana.