Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (mwenye nguo nyeusi) akiwa na viongozi wengine kutoka vyama vya upinzani leo katika Mahakama ya Kisutu
Kesi ya 'uchochezi' inayomkabiili Mbunge wa Kigoma Mjini, Zito Zuberi Kabwe imeahirishwa mpaka Januari 29, itakapoitwa kwa ajili ya kwenda kusikilizwa.