Alliance FC, Biashara United zagoma kuwa daraja
Tukiachana na namna Simba wanavyoendelea kunoga katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Azam FC kuchukua Kombe la Mapinduzi kwa mara ya tatu mfululizo, mitanange ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara inaendelea kila siku.

