Yondani avunja ukimya kuhusu fedha za mashabiki
Nahodha wa Yanga, Kelvin Yondani ameweka wazi kuwa katika kipindi hiki ambacho hali ya klabu hiyo haiko sawa kiuchumi, ameshuhudia upendo wa dhati kutoka kwa mashabiki ambao wamekuwa wakiwachangia pesa.