Makonda afichua siri Mnyika, Kubenea kujiunga CCM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema amepokea maombi ya kujiunga Chama Cha Mapinduzi kutoka kutoka kwa wabunge wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na wa Ubungo, John Mnyika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS