Droo ya AFCON kupangwa Tanzania, leo Michuano ya vijana chini ya miaka 17 Droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON) inatarajiwa kupangwa hii leo Jijini Dar es salaam. Read more about Droo ya AFCON kupangwa Tanzania, leo