Simba yagawa kichapo kwa Waarabu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mohammed Dewji wakiwa uwanjani. Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi Klabu Bingwa Barani Afrika. Read more about Simba yagawa kichapo kwa Waarabu