"Tahadhari, mwakani mtaniona kila sehemu" - AY
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, AY ametoa ahadi kwa mashabiki wake kuwa mwaka 2019 atakuwa msanii wa tofauti kwa kutoa ngoma mfululizo baada ya kuingia na kutoka kwenye muziki kwa wakati tofauti.