Sababu za Wanafunzi 14,000 kukosa shule Kagera
Mkoa wa Kagera umetakiwa kujenga vyumba vya madarasa 351 ili kuwezesha wanafunzi zaidi ya 14,000 ambao wamemaliza darasa la saba mwaka huu na kufaulu, kukosa nafasi za kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza, ili kuhakikisha wote wanapatiwa nafasi.