Waafrika waweka ngumu kutumia 'Hakuna Matata'
Kampuni ya filamu ya Disney ambayo hutengeneza filamu ya 'The Lion King', inapitia wakati mgumu kutoka kwa raia mbalimbali barani Afrika, wakitaka kampuni hiyo kuacha kutumia neno 'Hakuna Matata' kama chata yao ya kibiashara.