Siku za CAG, Kuhojiwa zahesabika

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.

Ni siku tisa tu zimebakia kabla ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kuhojiwa na Kamati ya Maadili, Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge kama ambavyo alitakiwa kufanya hivyo na Spika Job Ndugai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS