Msimamo wa serikali na upinzani kuhusu mikutano

Edward Lowassa akizungumza kwenye mkutano wa kampeni 2015.

Vyama vya Upinzani nchini vimeazimia kuanza kufanya mikutano ya hadhara kwa kile ilichodai kuwa ni kwa mujibu wa haki zao kisheria na kikatiba, hali ambayo inaonekana kuwa tofauti na msimamo wa serikali kuhusu suala hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS