Uchaguzi Yanga wasimamishwa Makao makuu ya Yanga Shirikisho la soka nchini (TFF), kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Uchaguzi, Malangwe Mchungahela, limeweka wazi kuwa limepokea maelekezo ya mahakama kuwa uchaguzi wa Yanga umepingwa na wanachama wa klabu. Read more about Uchaguzi Yanga wasimamishwa